Swali: Swalah inawahiwa vipi?

Jibu: Sahihi ni kwamba swalah inadirikiwa kwa Rak´ah moja. (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule mwenye kuwahi Rak´ah moja ya swalah basi ameiwahi swalah.”[1]

Kwa maana nyingine ni kwamba ambaye hakuwahi Rak´ah ni kwamba hakuwahi swalah. Haya pia ndio chaguo la Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah).

[1] al-Bukhaariy (579) na Muslim (608).

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/212)
  • Imechapishwa: 03/05/2026