Swali: Je, mtu anapata ujira kwa kunywesha kila kilicho hai?

Jibu: Tamko la Hadiyth[1] linasema kwamba kuna ujira kwa kila kunywesha kila kilicho hai. Kwa maana nyingine awape hata wasiokuwa wanadamu kama vile mbwa, paka na wanyama wengine. Hata hivyo muhimu zaidi ni wanyama. Kuwapa swadaqah ni muhimu na kukamilifu zaidi.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/uislamu-na-haki-za-wanyama/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23933/هل-فضل-الاحسان-الى-الحيوان-مثل-بني-ادم
  • Imechapishwa: 01/08/2024