Sutrah ya imamu ndio Sutrah ya maamuma

Swali: Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhumaa) alipita mbele ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) au mbele ya baadhi ya safu peke yake?

Jibu: Baadhi ya safu.

Swali: Sio mbele ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Mbele ya baadhi ya safu.

Swali: Hapa kunachukuliwa dalili ya kwamba swalah haikatiki…

Jibu: Hapa kuna dalili kwamba Sutrah ya imamu ndio Sutrah ya mswaliji.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23513/حكم-المرور-امام-المصلين-في-صلاة-الجماعة
  • Imechapishwa: 03/02/2024