Elimu mpaka ndani ya vyombo vya mawasiliano

Swali: Mnyama unalingana na gari kwa njia ya kujibu maswali ndani yake au vinatofautiana?

Jibu: Ndio, gari ina haki zaidi. Gari, meli, treni na mpaka aliye ndani ya ndege anaweza kujibu maswali.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23515/هل-يفتي-المفتي-في-السيارة-والطاىرة-ونحوها
  • Imechapishwa: 03/02/2024