Sutrah kwa anayeswali chumbani kwake

Swali: Ikiwa mtu anaswali kwenye chumba chake yuko peke yake ni wajibu kwake kuweka Sutrah mbele yake?

Jibu: Sutrah ni Sunnah mahala popote mtu anaposwali, sawa ikiwa ni kwenye chumba, Msikiti, bari na kadhalika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (06) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-8-5.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014