Swali: Je, inasihi kuswali swalah ya Sunnah ya kabla ya Dhuhr na ´Aswr Rak´ah nne kwa Tashahhud moja na Tasliym?
Jibu: Inafaa. Bora iwe kwa Tashahhud mbili. Bora pia ni kuzitenganisha kwa salamu.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 178
- Imechapishwa: 03/07/2022
Swali: Je, inasihi kuswali swalah ya Sunnah ya kabla ya Dhuhr na ´Aswr Rak´ah nne kwa Tashahhud moja na Tasliym?
Jibu: Inafaa. Bora iwe kwa Tashahhud mbili. Bora pia ni kuzitenganisha kwa salamu.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 178
Imechapishwa: 03/07/2022
https://firqatunnajia.com/sunnah-ya-rakah-nne-kwa-tasliym-moja/