Sunnah ya Rak´ah nne kwa Tasliym moja

Swali: Je, inasihi kuswali swalah ya Sunnah ya kabla ya Dhuhr na ´Aswr Rak´ah nne kwa Tashahhud moja na Tasliym?

Jibu: Inafaa. Bora iwe kwa Tashahhud mbili. Bora pia ni kuzitenganisha kwa salamu.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 178
  • Imechapishwa: 03/07/2022