Swali: Je, Sunnah ni Wahy au hapana?
Jibu: Sunnah ni Wahy kutoka kwa Allaah (Jalla wa ´Alaa) kwenda kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Matamshi yake ni ya (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Imesihi kutoka kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba amesema:
“Hakiki mimi nimepewa Qur-aan ni mfano wake pamoja nayo.”
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/285)
- Imechapishwa: 22/08/2020
Swali: Je, Sunnah ni Wahy au hapana?
Jibu: Sunnah ni Wahy kutoka kwa Allaah (Jalla wa ´Alaa) kwenda kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Matamshi yake ni ya (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Imesihi kutoka kwake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ya kwamba amesema:
“Hakiki mimi nimepewa Qur-aan ni mfano wake pamoja nayo.”
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/285)
Imechapishwa: 22/08/2020
https://firqatunnajia.com/sunnah-ni-wahy-kutoka-kwa-allaah/