Swali: Je, imepokelewa katika Sunnah ya kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikula kwa zaidi ya vidole vitatu?

Jibu: Sikumbuki kitu kuhusu hilo. Hata hivyo ni jambo lenye wasaa.

Swali: Akila kwa vidole vitano?

Jibu. Hapana neno, jambo ni lenye wasaa. Hata hivyo bora ni kula kwa vidole vitatu.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23262/حكم-الاكل-باكثر-من-ثلاث-اصابع
  • Imechapishwa: 14/12/2023