Safari isiyokuwa na uhakika

Swali: Mwenye kwenda safari na wakawa na kuzuizi hajui lini atarejea; kuna uwezekano wa 50% kuwa atarudi na akaswali na wengine wenye hali kama yake ambapo wakafupisha na kukusanya swalah. Lakini baadaye kizuizi kikaondoka na wakarejea.

Jibu: Hapana, aswali Rak´ah nne, kwa sababu ni safari isiyokuwa na uhakika.

Swali: Wairudi swalah yao?

Jibu: Ndio hivyo. Waswali Rak´ah nne.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23259/حكم-قصر-الصلاة-للمتردد-في-السفر
  • Imechapishwa: 14/12/2023