Swali: Hadiyth inayosema:

صلاة بسواك خير من سبعين صلاة بغير سواك

“Swalah moja kwa kupiga Siwaak ni bora kuliko swalah sabini bila mtu kupiga Siwaak.”

Jibu: Kuna kasoro katika cheni ya wapokezi wake. Ameitaja Ibn-ul-Qayyim katika kitabu chake. Lakini inahitaji kuangaliwa vyema.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23258/درجة-حديث-صلاة-بسواك-خير-من-سبعين
  • Imechapishwa: 14/12/2023