Tarawiyh na kisimamo cha usiku ni Sunnah mbili zilizokokotezwa. Mtu analipwa thawabu kwa kuziswali na wala haadhibiwi kwa kuziacha. Wala sio lazima kuziswali kwa mkusanyiko. Hapana vibaya mtu akiziswali peke yake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (2/243)
- Imechapishwa: 22/03/2024
Tarawiyh na kisimamo cha usiku ni Sunnah mbili zilizokokotezwa. Mtu analipwa thawabu kwa kuziswali na wala haadhibiwi kwa kuziacha. Wala sio lazima kuziswali kwa mkusanyiko. Hapana vibaya mtu akiziswali peke yake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Ibraahiym Aalush-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (2/243)
Imechapishwa: 22/03/2024
https://firqatunnajia.com/sunnah-mbili-zilizohimizwa/