Swali: Nikisikia Qur-aan kwenye redio na msomaji akapitia Aayah ya sujudu nisujudu wakati yeye anaendelea na kisomo?

Jibu: Tutatendea kazi Sunnah na hivyo tusujudu. Yapo maoni mengine kinyume na hivo. Sioni wajihi wake.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 42
  • Imechapishwa: 01/07/2022