Du´aa ambazo hazikuthibiti katika Sujuud ya kisomo

Swali: Je, imesuniwa kusoma du´aa ya jumla katika Sujuud ya kisomo baada ya kusoma ile du´aa iliopokelewa ni mamoja ndani ya swalah au nje yake?

Jibu: Tukomeke na kusoma zile zilipokelewa.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 42
  • Imechapishwa: 01/07/2022