Swali: Tunapotahadharisha mapote potevu na Ahl-ul-Bid´ah kuna watu wanaosema “msimtuhumu yeyote kwa ´Aqiydah yake”.

Jibu: Sisi hatumtuhumu yeyote kwa ´Aqiydah yake. Lakini sisi tunachukua kile tunachokiona. Ikiwa kuna mtu au kundi kunadhihiri kwake shari au Bid´ah, sisi tunatahadharisha watu naye. Ama midhali hadhahirishi kitu, sisi hatupekui yaliyomo kwenye mioyo ya watu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020