Mwanamke ameoga hedhi na amesahau kuondosha rangi ya kucha

Swali: Kuna mwanamke amejitwaharisha na hedhi kisha akaswali. Baada ya hapo akaona rangi ya kucha kwenye makucha yake ambayo amesahau kuindosha kabla ya kuoga. Ni ipi hukumu ya josho lake na swalah yake?

Jibu: Josho lake halikutumia na hovyo swalah yake sio sahihi. Ni juu yake kuondosha rangi ya kucha na aoge upya na aeneze maji mwili wake mzima ikiwa ni pamoja na makucha yake kisha baada ya hapo aswali.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (42) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-3-22.mp3
  • Imechapishwa: 20/08/2020