Swali 215: Je, inaweza kusemwa:
“Hakika Sayyid Qutwub akiwa ni Mujtahid basi ni mwenye kulipwa ujira juu ya hilo”?
Jibu: Yeye sio miongoni mwa watu wenye kufanya Ijtihaad mpaka kusemwe juu yake kitu hicho. Lakini kinachopasa kusemwa ni kwamba ni mjinga na anatakiwa kupewa udhuru kwa ujinga wake. Jengine ni kwamba masuala ya ´Aqiydah sio pahali pa Ijtihaad kwa sababu ni yenye kukomeka.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa ´Ulamaa-ul-Kibaar fiy al-Irhaab wat-Tadmiyr, uk. 439
- Imechapishwa: 18/01/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)