Swali: Kubusu jiwe jeusi ni Sunnah yenye kujitegemea au ni Sunnah iliofungamana na Twawaaf?

Jibu: Imefungamana na Twawaaf. Kwenda kulibusu pasi na kufanya Twawaaf ni jambo lisilokuwa na msingi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (20) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-6-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 18/01/2020