Swali: Dada huyu ni kutoka Ufaransa anasema kuwa mume wake ni mtu asiyeswali na anafanyia mzaha dini. Je, atengue ndoa na ni ipi njia ya kufanya hivo kwa kuzingatia ya kwamba ninaishi katika nchi ya kikafiri?
Jibu: Ndoa inapotimia na kufungwa haitenguliwi isipokuwa kupitia mikono ya hakimu wa Kishari´ah. Yeye ndiye ataitazama. Si kila mtu ana haki ya kutengua ndoa isipokuwa Qaadhiy.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
- Imechapishwa: 20/08/2020
Swali: Dada huyu ni kutoka Ufaransa anasema kuwa mume wake ni mtu asiyeswali na anafanyia mzaha dini. Je, atengue ndoa na ni ipi njia ya kufanya hivo kwa kuzingatia ya kwamba ninaishi katika nchi ya kikafiri?
Jibu: Ndoa inapotimia na kufungwa haitenguliwi isipokuwa kupitia mikono ya hakimu wa Kishari´ah. Yeye ndiye ataitazama. Si kila mtu ana haki ya kutengua ndoa isipokuwa Qaadhiy.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (37) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1431-1-25.mp3
Imechapishwa: 20/08/2020
https://firqatunnajia.com/si-kila-mtu-ana-haki-ya-kuitengua-ndoa/