Shiy´ah Ithnaa ´Ashariyyah imezuliwa ndani ya Uislamu

Swali: Je, pote la Shiy´ah al-Imaamiyyah ni katika Uislamu? Ni nani aliyeliunda? Shiy´ah wanayanasibisha madhehebu yao kwa ´Aliy (Karrama Allaahu wajhah). Madhehebu ya Shiy´ah ikiwa sio katika Uislamu ni ipi basi tofauti kati yake na Uislamu? Tunataraji kutoka kwako ubainifu wa wazi na wenye kukidhi kiu wenye kusapotiwa na dalili sahihi na khaswa madhehebu ya Shiy´ah na I´tiqaad zao na ubainishe baadhi ya mapote yaliyozushwa katika Uislamu.

Jibu: Madhehebu ya Shiy´ah al-Imaamiyyah ni madhehebu yaliyozushwa katika Uislamu kuanzia misingi na matawi yake. Tunakuusia kurejea kitabu “al-Khutwut al-´Ariydhwah”, “al-Mukhtaswar at-Tuhfah al-Ithnaa ´Ashriyyah”, “Minhaaj-us-Sunnah” ya Shaykh-ul-Islaam. Humo mna ubainifu mwingi juu ya Bid´ah zao.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (268/02)
  • Imechapishwa: 22/08/2020