Shirki ndogo ni dhambi kubwa kuliko madhambi makubwa

Swali: Ni sawa kusema kuwa shirki ndogo ni dhambi kubwa kuliko madhambi makubwa?

Jibu: Hili ndilo liliko karibu zaidi [na usawa] na dhahiri. Kuitwa kwake “shirki” kunathibitisha hivo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 28
  • Imechapishwa: 06/11/2016