Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:

“Shirki na Bid´an nyinginezo zimejengwa juu ya Bid´ah na uongo.”

Hii inakuwa daima na kila siku. Shirki na Bid´ah nyinginezo havina hoja wala dalili, vimejengeka juu ya uongo, uzushi, visa vya uongo na ndoto. Yote yamejengeka juu ya mambo haya. Vimejengeka vilevile juu ya Hadiyth zilizoundwa na za uongo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Iqtidhwaa’-is-Swiraat al-Mustaqiym (07) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ektda–1429-11-17.mp3
  • Imechapishwa: 05/05/2015