Sherehe za kuzaliwa ambazo wazazi wanawafanyia wanao

Swali: Ni ipi hukumu ya sherehe za kuzaliwa ambazo zinafanywa na baadhi ya watu kuwafanyia watoto wao?

Jibu: Yote haya ni katika Bid´ah na kujifananisha [na makafiri]. Wanasema [wanachuoni] kwamba kwa watu wenye dini sherehe ni katika mambo ya ´Ibaadah. Haijuzu kufanya hivi. Ni Bid´ah. Dogo liwezalo kusemwa ni kwamba ni kujifananisha. Lakini uhakika wa mambo ni kwamba ni Bid´ah. Kwa kuwa sherehe ni ´Ibaadah

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (17) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-03-14.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014