Swali: Je, inajuzu kufanya Twawaaf katika wakati ambapo Khatwiyb anatoa Khutbah ya ijumaa na kabla ya kukimu swalah ya ijumaa?
Jibu: Ndio, hakuna neno atukufu hata kama imamu anatoa Khutbah ya Ijumaa. Atufu. Ikiwa atakaa na kusikiliza Khutbah na akachelewesha Twawaaf [baadae], ndio bora. Lakini lau atatufu Twawaaf yake ni sahihi. Hata kama lau atatufu na kunaswaliwa Tarawiyh au kunatolewa Khutbah, hakuna neno.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-04-06.mp3
- Imechapishwa: 14/11/2014
Swali: Je, inajuzu kufanya Twawaaf katika wakati ambapo Khatwiyb anatoa Khutbah ya ijumaa na kabla ya kukimu swalah ya ijumaa?
Jibu: Ndio, hakuna neno atukufu hata kama imamu anatoa Khutbah ya Ijumaa. Atufu. Ikiwa atakaa na kusikiliza Khutbah na akachelewesha Twawaaf [baadae], ndio bora. Lakini lau atatufu Twawaaf yake ni sahihi. Hata kama lau atatufu na kunaswaliwa Tarawiyh au kunatolewa Khutbah, hakuna neno.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-04-06.mp3
Imechapishwa: 14/11/2014
https://firqatunnajia.com/kufanya-twawaaf-na-imamu-anatoa-khutbah/