Hukumu ya du´aa zinazoombwa katika Swafa na Marwa

Swali: Kukariri du´aa katika Swafa na Marwa ni kwa njia ya mapendekezo [Istihbaab] au njia ya uwajibu?

Jibu: Mapendekezo. Adhkaar na du´aa zote katika Twawaaf na Say´ ni kwa njia ya mapendekezo na sio wajibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (21) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1431-04-06.mp3
  • Imechapishwa: 14/11/2014