Shaykh al-Jaabiriy kuhusu ´Abdul-Maalik Ramadhwaaniy

Swali: Kuna swali kuhusu Shaykh ´Abdul-Maalik Ramadhwaaniy.

´Ubayd: ´Abdul-Maalik Ramadhwaaniy imekuwa siku hizi anachanga sana mambo na anakosa nia. Hafai.

Swali: [Swali haliko wazi]

´Ubayd: Hapana, hapana. Siwanasihi kushikamana naye. Ni katika wafuasi wa al-Halabiy sasa.

Swali: Vitabu vyake vya zamani vipo hapa Libya.

´Ubayd: Vitabu vya zamani mtu anaweza kuchukua elimu akastafidi kwavyo, na khaswa vile ambavyo vina Radd dhidi ya Khawaarij. Ni vizuri. Kwa mfano kitabu “Madaarik-un-Nadhwar”. Ni kizuri.

Swali: Ana kitabu hata cha Hijaab…

´Ubayd: Hakuna neno kusoma vitabu vya zamani. Lakini mtu huyu kwa sasa, amekuwa kama nimevyokwambia. Kuanzia miaka ya nyuma amekuwa hana tena nia. Anasapoti maneno na sifa za al-Halabiy kwa The Amman Message ambayo imejaa Kufuru.

  • Mhusika: Shaykh ´Ubayd bin ´Abdillaah al-Jaabiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=127471
  • Imechapishwa: 28/07/2020