Swali: Je, inajuzu kula vichinjwa vya Ahl-ul-Kitaab pasi na sharti zozote?
Jibu: Sharti iwe wamechinja kwa njia ya Kishari´ah. Ama ikiwa wanachinja kinyume na njia ya Kishari´ah, kama kwa kutumia umeme, haijuzu sawa ikiwa kwa Waislamu wala Ahl-ul-Kitaab. Ni lazima kuchinja iwe kwa njia ya Kishari´ah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14340421.mp3
- Imechapishwa: 20/09/2020
Swali: Je, inajuzu kula vichinjwa vya Ahl-ul-Kitaab pasi na sharti zozote?
Jibu: Sharti iwe wamechinja kwa njia ya Kishari´ah. Ama ikiwa wanachinja kinyume na njia ya Kishari´ah, kama kwa kutumia umeme, haijuzu sawa ikiwa kwa Waislamu wala Ahl-ul-Kitaab. Ni lazima kuchinja iwe kwa njia ya Kishari´ah.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/eg–14340421.mp3
Imechapishwa: 20/09/2020
https://firqatunnajia.com/sharti-ya-kula-vichinjo-vya-ahl-ul-kitaab/