Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kufanya x-ray ili kuweza kujua jinsia ya mtoto wakati wa ujazito wake kama ni wa kiume au wa kike?
Jibu: Kuna haja gani? Hapana haja. Asifanye hivo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (67)
- Imechapishwa: 10/03/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket