Kuchagua jinsia ya mtoto kwa mimba zinazotungwa kwenye chupa mahabara

Swali: Kuhusu mimba zinazotungwa kwenye chupa mahabara. Madaktari huwaonyesha wanandoa na kuwauliza kama wanataka mtoto huyu awe wa kiume au wa kike. Je, inafaa kitu kama hichi? Je, inafaa kwao kuchagua?

Jibu: Wakitaka awe wa kiume anakuwa wa kiume? Kama Allaah hakutaka awe wa kiume hawi wa kiume.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (67)
  • Imechapishwa: 10/03/2022