Swali: Je, inafaa kwa mwanamke kufanya x-ray ili kuweza kujua jinsia ya mtoto wakati wa ujazito wake kama ni wa kiume au wa kike?

Jibu: Kuna haja gani? Hapana haja. Asifanye hivo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (67)
  • Imechapishwa: 10/03/2022