Swali: Je, mwonaji awaeleze watu ikiwa ametia shaka kama ameona mwezi mwandamo au hakuona?
Jibu: Hakuna faida pale anapotia shaka. Muhimu ni kuwepo yakini na uhakika kwamba kweli ameuona usiku wa tarehe thelathini.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/794/فتاوى-رمضانية
- Imechapishwa: 01/04/2023