Swali: Je, ndoa inasihi ikiwa mmoja katika mashahidi wa ndoa haswali?

Jibu: Hapana. Ambaye anaacha swalah makusudi haozeshwi mwanamke wa Kiislamu. Ndoa haisihi. Afisa hutekeleza masharti. Ikiwa masharti hayakutimia, ndoa haipiti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (36)
  • Imechapishwa: 05/08/2023