Swali: Inatosha kumtamkisha anayetaka kufa “Laa ilaaha illa Allaah” au pia mtu aongeze juu yake “wa ash-Hadu anna Muhammad Rasuul Allaah”?
Jibu: Inatosha kwa yeye kusema… usimwambie sema “Laa ilaaha illa Allaah” na wala usimwambie sema “ash-Hadu… “ Kusema hivi kunaweza kuwa kugumu kwake katika nafasi kama hii ngumu. Tamka shahaadah ambapo atakusikia na yeye pia atakurudia. Mkumbushe. Unatakiwa umfanyie upole kadri na inavyowezekana.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Inatosha kumtamkisha anayetaka kufa “Laa ilaaha illa Allaah” au pia mtu aongeze juu yake “wa ash-Hadu anna Muhammad Rasuul Allaah”?
Jibu: Inatosha kwa yeye kusema… usimwambie sema “Laa ilaaha illa Allaah” na wala usimwambie sema “ash-Hadu… “ Kusema hivi kunaweza kuwa kugumu kwake katika nafasi kama hii ngumu. Tamka shahaadah ambapo atakusikia na yeye pia atakurudia. Mkumbushe. Unatakiwa umfanyie upole kadri na inavyowezekana.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/shahaadah-mbili-au-moja-tu-kwa-anayetaka-kutaka-roho/