Sehemu isiyotakiwa kuonekana ya mwili imeonekana kwenye Twawaaf

Swali: Je, Twawaaf ya mtu inaathiriwa ikiwa sehemu isiyotakiwa kuonekana ya mwili itaonekana kutokana na msongamano?

Jibu: Sehemu ndogo inasamehewa, kama ilivyo kwenye swalah.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24985/حكم-انكشاف-شيء-من-العورة-في-الطواف
  • Imechapishwa: 17/01/2025