Manukato ya Ka´bah yanamwathiri Muhrim?

Swali: Je, Ihraam inaathirika ikiwa mtu atagusa nguzo ya yemeni au jiwe jeusi lililopakwa manukato mengi?

Jibu: Hapana, haitathiriki. Ikiwa manukato yako mabichi asiyaguse. Lakini kama umeyagusa bila kujua, hilo halikudhuru. Himdi zote njema ni stahiki ya Allaah jambo hili ni jepesi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24989/هل-يوثر-طيب-الكعبة-على-الاحرام
  • Imechapishwa: 17/01/2025