Mimi ninatahadharisha vitabu vya Muhammad Qutwub vyote na miongoni mwavyo ni kitabu hiki. Vitabu vyote vya Muhammad Qutwub ni wajibu kutahadhari navyo. Isitoshe, vitabu vya Sayyid Qutwub ambavyo Muhammad Qutwub anaeneza na anabeba majukumu yake mbele ya Allaah zaidi kuliko kaka yake. Ninatahadharisha navyo.
Mtu huyu hajui Sunnah na hajui Manhaj ya Salaf masikini. Anaihujumu Dini kwa mfumo huu yeye na kaka yake wote wawili. Hawakusoma elimu ya Kishari´ah. Wana ushujaa, adabu na falsafa. Yakawafanya kuifasiri Dini kwa ujinga wao.
- Muhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=26875
- Imechapishwa: 19/05/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)