Salamu kwa msomaji Qur-aan

Swali: Ipo fatwa inayosema ambaye anaingia katika kikao ambacho kunasomwa Qur-aan basi asito salamu ili msomaji yule asilazimike kumuitikia. Je, maneno haya ni sahihi?

Jibu: Hayana msingi. Ni kama kumtolea salamu anayeswali.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 67
  • Imechapishwa: 01/07/2022