Swali: Kuna tofauti katika hukumu kuhusiana na jambo la usomaji wa Qur-aan tukufu katika hali ya udhuru unaokubalika katika Shari´ah kwa mwanamke kati ya yule anayesoma kwa ajili ya kuhifadhi, kwa ajili ya kujikumbusha na kwa ajili ya kumwabudia Allaah?
Jibu: Kuna makinzano katika ule msingi wake. Hawana dalili ya wazi ya kutofautisha.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 110
- Imechapishwa: 01/07/2022