Swali: Mmoja wetu akitutolea salamu wakati tunaposoma Qur-aan kisha akataka kuendelea na kisomo baada ya kuitikia – je, atatakiwa kuleta Isti´aadhah?
Jibu: Ndio.
- Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 67-68
- Imechapishwa: 01/07/2022