Swali: Katika mtaa ninaoeshi kuna baadhi ya watu katika Jamaa´at-ut-Tabliygh na al-Ikhwaan al-Muslimuun. Tunapokutana wakanisalimia huwarudishia salamu, na wanaponipa mkono nami huwapa mkono. Aidha huwapa baadhi ya nasaha kila wakati ninapopata fursa ya kufanya hivo. Baadhi ya ndugu wamenilaumu. Ni zipi nasaha zzako?

Jibu: Hili ni kosa.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=icjnMeah_nk
  • Imechapishwa: 17/12/2022