Swali: Nilikuwa naomba tafsiri ya neno “Salaf” na ni kina nani “Salafiyyuun”?
Jibu: Salaf ni Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah ambao ndio wenye kumfuata Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) miongoni mwa Maswahabah (Radhiya Allaahu ´anhum) na wenye kufuata uongofu wao mpaka siku ya Qiyaamah. Wakati Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipoulizwa juu ya kundi lililookoka akasema:
“Ni lile lenye kufuata yale niliyomo mimi hii leo na Maswahabah zangu.”
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (2/164)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)