Ridhaa ya msichana kuolewa ni sharti ya kusihi kwa ndoa

Swali: Kuridhia kwa mwanamke ni sharti ya kusihi kwa ndoa?

Jibu: Ndio, ni lazima pale ambapo msichana sio chini ya miaka tisa. Lakini akiwa chini ya miaka tisa inafaa kwa baba yake kumuozesha. Hivo ndivo Abu Bakr alivyomuozesha ´Aaishah kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akiwa chini ya miaka tisa pasi na kumtaka idhini. Kwa sababu msichana hana maoni yoyote midhali ni chini ya miaka tisa. Baba pekee ndiye anayo haki ya kumuozesha msichana chini ya miaka tisa. Mwengine asiyekuwa baba hana haki hiyo. Katika hali hiyo hatoozeshwa isipokuwa kwa kupata idhini yake baada ya kuwa na miaka isiyopungua tisa. Msichana hutoa idhini yake kwa kule nyamaza kwake. Msichana bikira ridhaa yake ni kule kunyamaza kwake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23835/هل-رضا-المراة-شرط-لصحة-الزواج
  • Imechapishwa: 16/05/2024