Haifai kumlazimisha msichana kuolewa wala mvulana kuolewa

Swali: Tumesoma katika baadhi ya vitabu vya Fiqh kwamba inafaa kwa baba – pale anapoona kuna manufaa – akamlazimisha ndoa mvulana au msichana wake?

Jibu: Sio sahihi. Halazimishwi mtoto wa kiume wala mtoto wa kike. Lakini akiwa ni msichana mdogo chini ya miaka tisa inafaa kwake kumuozesha. Hii ni haki ya baba pekee.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23836/هل-للولي-ارغام-ابنه-او-ابنته-على-الزواج
  • Imechapishwa: 16/05/2024