Ndoa bila walii inaharibika

Swali: Je, ndoa inaharibika mwanamke akiolewa bila ya walii?

Jibu: Ndio, ikiwa walii yupo na hakuombwa idhini na hakumuwakilisha mtu. Katika hali hiyo ndoa inaharibika:

“Hakuna ndoa isipokuwa kwa walii.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23832/هل-يبطل-زواج-المراة-بدون-ولي
  • Imechapishwa: 16/05/2024