Kumtazama mposwaji inakuwa kabla au baada ya posa?

Swali: Baada ya kuwekwa Shari´ah ya kumtazama yule mposwaji inakuwa kabla au baada ya posa?

Jibu: Kabla ya posa. Aanze kumtazame; akimpendeza atamchumbia. Vinginevyo atamwacha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23828/متى-يكون-النظر-للمخطوبة
  • Imechapishwa: 16/05/2024