Swali: Je, kuna rehema iliyoumbwa na 99 haikuumbwa?

Jibu: Zote 100 zimeumbwa:

”Allaah ameumba rehema 100.”

Hata hivyo rehema ambayo anaelezwa nayo Allaah sio kiumbe. Ni sifa Yake (Subhaanahu wa Ta´ala). Kuhusu rehema hii ni rehema nyingine.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24464/هل-الرحمة-منها-مخلوقة-وغير-مخلوقة
  • Imechapishwa: 17/10/2024