Swali: Vipi ikiwa zawadi haimfai isipokuwa kwake tu na si wengine?xa

Jibu: Tunachokusudia ni kama alivosema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

”Mche Allaah na fanya uadilifu baina ya watoto wako.”

Hapana vibaya wakiridhia baada ya kushauriwa. Hapana vibaya wakimruhusu kaka yao kutokana na haja baada ya kushauriwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24454/حكم-العطية-التي-لا-تصلح-الا-لواحد-من-الاولاد
  • Imechapishwa: 17/10/2024