Swali: Yanayosemwa na watu kuwa ardhi inazunguka jua.
Jibu: Watuthibitishie hili. Mujibu wa Qur-aan inaonyesha kuwa ardhi iko thabiti na kwamba Allaah ameisimamishia majibali na akaifanya ardhi kuwa imara. Haya ndio yaliyomo kwenye Qur-aan. Ikiwa wao wana kinachoenda kinyume na Qur-aan walete hoja. Hawawezi kuleta hoja zinazoenda kinyume na Qur-aan kwa hali yoyote.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-21.mp3
- Imechapishwa: 19/08/2020
Swali: Yanayosemwa na watu kuwa ardhi inazunguka jua.
Jibu: Watuthibitishie hili. Mujibu wa Qur-aan inaonyesha kuwa ardhi iko thabiti na kwamba Allaah ameisimamishia majibali na akaifanya ardhi kuwa imara. Haya ndio yaliyomo kwenye Qur-aan. Ikiwa wao wana kinachoenda kinyume na Qur-aan walete hoja. Hawawezi kuleta hoja zinazoenda kinyume na Qur-aan kwa hali yoyote.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-21.mp3
Imechapishwa: 19/08/2020
https://firqatunnajia.com/qur-aan-inasemaje-juu-ya-kipi-kinachozunguka-kati-ya-ardhi-na-jua/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)