Mwanamke huyu ana eda?  

Swali: Mume wangu amenitaliki talaka moja na akanirudi kwa maneno kabla ya eda kwisha wakati nilipokuwa kwa familia yangu. Nikakamilisha hedhi tatu kisha kukatokea Khul´ kwa Qaadhiy. Je, baada ya Kuhl´ nina eda nyingine?

Jibu: Ndio.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (24) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1428-3-21.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2020