Qunuut kwa sauti nyororo na Tajwiyd

Swali: Ni ipi hukumu ya kuomba du´aa ya Qunuut kwa kuremba sauti na kutumia juu yake hukumu za Tajwiyd?

Jibu: Bid´ah.

  • Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 245
  • Imechapishwa: 04/07/2022